MAJIBU YA DIAMOND KWA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUMDHALILISHA MAMA YAKE.....YANAYOENDELEA BUSARA INATAKIWA ITUMIKE

Kumekua na vijembe vya hapa na pale kati ya pande mbili za Bongofleva, Diamond Platnumz na WCB na Alikiba na Rock Star ambapo ishu imeanzia kwenye fresh remix ya Fid Q ft. Diamond na Rayvanny.
Alikiba alijibu kupitia ukurasa wake wa Twitter na Instagram ambapo saa kadhaa baadae kuna kipisi kingine cha hiyo ngoma ya Fresh kilipostiwa Instagram na Diamond alisikika akichana maneno yafuatayo hapa chini.
Kufanya verse moja tu naona povu linawashuka, kina dada wavaa top na vibukta.. hawatoi ngoma kazi Twitter kunisuta
Mistari hiyo ilisemekana kumdiss Alikiba na Dimpoz ambapo Ommy Dimpoz leo ametumia ukurasa wake wa Instagram kupost picha akiwa na Mama mzazi wa Diamond Platnumz na kuandika “BARUA YA WAZI KWA BINTI YANGU MALKIA WA NGUVU, Salam zako nimezipata mwanangu”

Comments

Popular posts from this blog

The sexual origins of the popular barre workout

JUMA ABDUL ATAJA SABABU ZA KUONDOKA YANGA

MOHAMED SALAH KUJUMUISHWA KWENYE BALLON DO'R,JE UNAJUA NI KWANN ATASHINDA MWAKA HUU?VIGEZO HIVI HAPA