Katibu Mkuu CHADEMA amezungumza Bulaya kushikiliwa Polisi


Leo April 13, 2018 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Katibu wake, Dk. Vincent Mashinji wameondoka katika Kituo Kikuu cha Polisi central baada ya kuripoti, huku Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya ikidaiwa atalala mahabusu kwa ajili ya kufikishwa mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa Habari, Mashinji amesema kuwa wameripoti kituoni hapo kama walivyoamriwa na mahakama, lakini wameambiwa Mbunge Bulaya atabaki mahabusu kwa ajili ya upelelezi.

Comments

Popular posts from this blog

The sexual origins of the popular barre workout

MOHAMED SALAH KUJUMUISHWA KWENYE BALLON DO'R,JE UNAJUA NI KWANN ATASHINDA MWAKA HUU?VIGEZO HIVI HAPA

MAJIBU YA DIAMOND KWA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUMDHALILISHA MAMA YAKE.....YANAYOENDELEA BUSARA INATAKIWA ITUMIKE